Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Watumiaji wa Dawa za ARVs Waongezeka Nchini

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) William Lukuvi akitoa tamko la Serikali kuhusu Siku ya UKIMWI Duniani ameeleza kuwa Serikali kupitia Wizara ya Afya imekuwa na mafanikio katika upatikanaji wa huduma za VVU na UKIMWI nchini.

Mafanikio hayo ameyataja kuwa ni kuongezeka kwa kiwango cha watu wanaotambua hali za maambukizi ya VVU kutoka asilimia 91 mwaka 2024 hadi asilimia 92 mwaka 2025 pamoja na Kuongezeka kwa WAVIU wanaotumia dawa za kufubaza VVU kutoka asilimia 98 mwaka 2024 hadi asilimia 98.5 mwaka 2025 sambamba na Kuongezeka kwa WAVIU wanaotumia dawa za ARV ambao wamefubaza VVU kutoka asilimia 97 mwaka 2024 hadi asilimia 98.1 mwaka 2025.

 

Chanzo; Crown Media

Kuhusiana na mada hii: