Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Tanzania haiwezi kuongozwa kwa rimoti kutoka nje ya mipaka yake.
Mwigulu ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Uyole mkoani Mbeya ikiwa ni muendeleo wa ziara zake za kukagua miundombinu iliyoharibiwa wakati wa vurugu za kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
“Wanaomezea mate urani, watamezea mate mpaka na ulimi hii nchii haitaongozwa kama rimoti” - Nchemba
Chanzo; Dw