Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Tanzania na Umoja Mataifa Wajadili Vurugu Oktoba,29

Mwakilishi maalumu wa UN kwa Umoja wa Afrika, Parfait Onanga-Anyanga, amehitimisha ziara yake Tanzania ambapo amekutana na Rais Samia kujadili vurugu za uchaguzi wa Oktoba 29.

Rais Samia ameahidi kuzingatia sheria, uwajibikaji na utulivu wa nchi, pamoja na kupokea mapendekezo ya tume ya uchunguzi iliyoongezewa muda.

Onanga-Anyanga amesema atawasilisha tathmini yake kwa Katibu Mkuu wa UN na kusisitiza umuhimu wa mazungumzo jumuishi. Pia amekutana na vyama vya siasa ambavyo vimeibua masuala ya kasoro za uchaguzi, katiba, na kutokuwa na imani na tume ya uchunguzi.

 

 

 

Chanzo; Dw

Kuhusiana na mada hii: