Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma ujumbe kwa Watanzania kuelekea Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru, Disemba 9, 20205.
Taarifa iliyotolewa leo Disemba 8 na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchema imewataka wananchi wasiokuwa na dharura siku hiyo kuitumia kupumzika majumbani kwao.
Ameongeza kuwa, wale ambao majukumu yao ya kikiazi yanawalazimu kufika katika vituo vyao vya kazi watafanya hivyo kwa kufuata maagizo ya viongozi wao.
Chanzo; Eatv