Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Watanzania Watakuwa Kufata Masharti ya Viza Wakiwa Marekani

Serikali imewataka Watanzania wanaosafiri kwenda Marekani kuzingatia masharti ya viza wanazopewa ili kuishi nchini humo kuepuka athari kwao binafsi na kwa taifa kwa ujumla.

Katika taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki iliyotolewa leo, imeeleza kuwa kukiukwa kwa masharti ya viza ndiyo sababu iliyopelekea Tanzania kuwekewa udhibiti katika kupata viza.

"Kwa mujibu wa tangazo rasmi la Serikali ya Marekani, udhibiti huo umetokana na taarifa ya Wakaaji zaidi ya muda iliyoonesha kuwepo kwa idadi ya baadhi ya raia wa Tanzania waliokwenda nchini Marekani na kuzidisha muda wa kukaa kinyume na masharti ya viza walizopewa" imesema sehemu ya taarifa ya wizara hiyo.

 

 

Chanzo; Mwananchi

Kuhusiana na mada hii: