Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amelitaka jeshi la nchi hiyo kutojiingiza katika siasa.
''Hiki chombo kuwe kuna CCM kuwe kuna CHADEMA kuwe kuna chama gani, Hiki chombo kiko tu kwaajili ya kuilinda nchi na kulinda wananchi wa nchi hii''
Samia alikuwa akizungumza katika mkutano wa 9 wa mkuu wa majeshi CDF na makamanda wakuu uliofanyika katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga.
Chanzo; Bbc
