Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Radi Iliyopiga Dar Yaua Watoto Watatu

Wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Msongola, iliyopo Kivule wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amethibitisha tukio hilo, akieleza kuwa limetokea leo Jumatano, Machi 18, 2026.

Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi kuhusu tukio hilo, huku wananchi wakitakiwa kuchukua tahadhari wakati wa mvua ili kuepuka madhara yanayoweza kusababishwa na radi.

 

 

Chanzo; Global Publishers

Kuhusiana na mada hii: