"Vijana wanaongalia 2030, niwaambie kwamba safari hiyo isiende kutuvurugia nchi yetu. Nilizungumza na mawaziri wangu nikawaambia mmoja mmoja kama una nia hiyo kaa nje usifanye hivyo ukiwa kwenye Serikali yangu.
Mungu ndiye anajua nani kiongozi wetu baadaye, unaweza kujipanga, ukawa na mikakati na usiwe kwani wangapi walijipanga na walikuwa na nguvu hadi za kifedha lakini je walikuwa?"- Rais Samia Suluhu Hassan
Chanzo; Mwananchi