Diwani wa Mchikichini, Nurdin Juma almaarufu Shetta, amechaguliwa kuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam baada ya kupata kura 48 kati ya 51 zilizopigwa na madiwani.
Shetta anachukua nafasi ya Omary ambaye amekuwa Meya wa Dar es Salaam kuanzia mwaka 2021 hadi 2025.
Chanzo; Global Publishers