Na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa moja limetusaidia…”-Waziri Mkuu – Dkt.Mwigulu Nchemba.
Chanzo; Itv