Msikilize Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua ni kwa nini serikali haitoi idadi ya watu waliofariki dunia katika vurugu zilizotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 baada ya uchaguzi mkuu.
Chanzo; Global Publishers