Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Mwanafunzi Akamatwa na Mamba Akiwa Hai, Ukerewe

Wakazi wa Kijiji cha Buzegwe wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, wameomba Serikali kufanya uchunguzi wa kina kuhusu tukio la Mwanafunzi kukamatwa na Mamba na baada ya siku saba mwanafunzi huyo kurudishwa katika eneo aliloshambuliwa kandokando ya Ziwa Victoria akiwa hai.

Tukio hilo linadaiwa kutokea Machi 2, 2026, katika Kitongoji cha Ilondo Magharibi, Kijiji cha Buzegwe, Kata ya Kagunguli, hali hii imeibua maswali miongoni mwa wakazi wa eneo hilo na wanafamilia.

 

 

 

Chanzo; Itv

Kuhusiana na mada hii: