Waziri mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania inachonganishwa kutokana na rasilimali zake.
Ameyasema hayo wakati wa mkutano wake wa kufanya tathmini ya athari ya machafuko ya wiki ya uchaguzi nchini humo.
Tanzania ilishuhudia maandamano na vurugu wiki ya uchaguzi mkuu oktoba 29.
Chanzo; Bbc