Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Wanafunzi Zaidi ya Laki 9 Kuingia Kidato cha Kwanza 2026

Wanafunzi 937,581 sawa na asilimia 100 ya wanafunzi wote waliokuwa na sifa ya kuchaguliwa wakiwamo wasichana 508,477 na wavulana 429,104 wamepangiwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule za serikali, Januari mwaka kesho.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salam , Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Miaa (OWM-TAMISEMI) Prof.Riziki Shemdoe, amesema kila mwanafunzi aliyefanya mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi Mwaka, 2025 na kupata jumla ya alama za ufaulu kati ya 121 hadi 300 amechaguliwa na kupangiwa shule ya serikali.

Amesema uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka wa masomo, 2026 umezingatia kigezo cha ufaulu wa Mtahiniwa anayechaguliwa na kwamba waliochaguliwa shule za bweni wanatakiwa kuripoti Januari 12 na za kutwa Januari 13.

 

Chanzo; Nipashe

Kuhusiana na mada hii: