Kiongozi wa Madagaska Kanali Michael Randrianirina amemfuta kazi Waziri Mkuu Herintsalama Rajaonarivelo na kuvunja baraza la mawaziri, miezi michache tu baada ya kutwaa madaraka kufuatia maandamano makubwa.
Herintsalama, aliyeteuliwa Oktoba baada ya mapinduzi ya kijeshi, ameondolewa bila kutolewa sababu, huku ikisemwa kuwa Waziri Mkuu mpya atatangazwa hivi karibuni.
Chanzo; Dw