Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Watoto “Kizazi Beta” Kuzaliwa 2026, Kuwapokea Gen Z

Wanasayansi na wataalamu wa masuala ya malezi wamelitaja kundi jipya la watoto watakaozaliwa kuanzia mwaka 2026 kuitwa 'Kizazi Beta' (Beta Generation).

Sababu za kundi hilo kuitwa kizazi Beta ni kutokana na mwendelezo wao wa kile kilichozaliwa miaka ya 2000 cha Alpha, ambacho kilianzisha mapinduzi ya teknolojia na sasa kuendeleza mapinduzi hayo yaliyoingia katika mfumo wa Akili Mnemba na fedha kidigitali.

Hivyo wazazi ambao wanatarajia kupata watoto kuanzia mwakani watahesabika kuwa sehemu ya Kizazi Beta.

Kizazi hicho kipya kinachotarajiwa kudumu hadi mwaka 2039.

Mtandao wa netmums.com unadokeza mambo muhimu ambayo jamii na wazazi wanapaswa kutambua sifa bainifu ambazo zitaambatana na watoto wa kizazi beta.

 

Chanzo; Mwananchi

Kuhusiana na mada hii: