Burkina Faso imewakamata askari 11 wa Jeshi la Anga la Nigeria baada ya ndege yao kuripotiwa kuingia katika anga la nchi hiyo bila ruhusa.
Muungano wa kijeshi wa Afrika Magharibi, Alliance of Sahel States (AES), umeuita tukio hilo uvunjifu mkubwa wa mamlaka ya nchi, na kuongeza mvutano kati ya mataifa jirani.
Chanzo; Bongo 5