Haya ni baadhi ya matukio makubwa yaliyojiri duniani mnamo mwaka wa 2025 :
1. Kurudi kwa kishindo kwa Donald Trump Ikulu ya White House.
2. Usitishaji vita wa kusuasua huko Gaza.
3. Juhudi ngumu za kuleta amani nchini Ukraine.
4. Vita vya kibiashara duniani.
5. Kuchaguliwa kwa Papa mpya: Leo XIV
6. Maandamano ya vijana wa kizazi kipya cha Gen Z katika nchi kadhaa duniani.
7. Uwekezaji mkubwa katika akili mnemba (AI).
8. Wizi wa kushangaza katika Makumbusho ya Louvre mjini Paris.
9. Mashambulizi ya Marekani katika eneo la Karibiani na Pasifiki.
10. Rekodi mpya ya mabadiliko ya tabian nchi duniani.
Chanzo; Dw