Mahakama Kuu Jijini Nairobi imefutilia mbali uteuzi wa washauri 21 wa Rais William Ruto, baada ya kubaini kuwa nafasi hizo ziliundwa na kujazwa kwa utaratibu uliokiuka katiba na kinyume cha sheria mnamo mwaka wa 2022.
Chanzo; Itv
We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.