Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Mwanaume Anayedai Kuuza Viungo vya Binadamu

Upekuzi wa BBC Africa Eye umegundua uwepo wa biashara haramu ya viungo vya mwili wa binadamu nchini Sierra Leone.

Katika uchunguzi huo wa siri, mwandishi alijifanya mnunuzi anayetaka viungo hivyo kwa matumizi ya rituali za kishirikina ili kupata mafanikio ya kisiasa na mtuhumiwa alionekana tayari kutekeleza ombi hilo.

Waganga wa jadi nchini humo sasa wanajitahidi kurejesha heshima ya taaluma yao, wakishirikiana na polisi kukabiliana na matapeli wanaochochea biashara hii ya chini kwa chini. Hata hivyo, mauaji ya kimila hayarekodiwi kama kosa maalum, jambo linalofanya kiwango halisi cha matukio haya kubaki kitendawili

 

Chanzo; Bbc

Kuhusiana na mada hii: