Ndege ya kivita ya F-16C kutoka kikosi cha Jeshi la Anga la Marekani cha Thunderbirds ilianguka wakati wa mazoezi karibu na Uwanja wa Ndege wa Trona katika Kaunti ya San Bernardino, California jana Desemba 3. Rubani alitoka salama, kwa usaidizi wa parachuti, na alipelekwa hospitalini akiwa na majeraha kidogo.
Chanzo; Eatv