Ofisi ya Pamoja ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imechapisha taarifa yake ya miezi sita ya kwanza ya mwaka 2025, inaonesha ongezeko la asilimia 11 ya ukiukaji wa haki za kibinadamu na ongezeko la asilimia 12 ya waathirika ikilinganishwa na miezi sita ya mwaka uliopita huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Chanzo; Dw