Mkutano wa ngazi ya juu na wa kwanza kufanyika barani Afrika wa kundi la mataifa yenye uchumi mkubwa duniani, G20, ambao pia umekuwa wa kwanza kususiwa na mmoja wa wanachama wakuu wa kundi hilo, Marekani, ulihitimishwa rasmi jana jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini.
Chanzo; Dw