Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Kiongozi wa Juu wa Kijeshi wa Hezbolla Auwawa

Haytham Ali Tabatabai, ni kamanda wa juu kabisa wa Hezbollah kuuliwa na Israel tangu walipoanza kutekeleza makubaliano ya kusitisha mapigano Novemba 2024, yaliyolenga kumaliza mzozo baina yao uliodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja.

Taarifa hizo zimethibitishwa pia na kundi hilo la Hezbollah na kuongeza kuwa wapiganaji wake wanne pia waliuawa, huku Wizara ya afya ya Lebanon, ikisema watu wengine 28 walijeruhiwa.

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, alisema jana kwamba Israel "haitaruhusu Hezbollah kujiimarisha upya kijeshi", na kutoa wito kwa serikali ya Lebanon "kutimiza ahadi yake ya kuipokonya silaha Hezbollah".

 

Chanzo; Dw

Kuhusiana na mada hii: