Upepo mkali umezua balaa nchini Brazil baada ya kuliangusha sanamu maarufu la Statue of Liberty replica lenye ukubwa wa mita 24.
Ripoti zinasema upepo huo ulifikia kasi ya kilomita 90 kwa saa.
Meya wa Guaíba Marcelo Maranata amethibitisha kuanguka kwa 'Sanamu ya Uhuru' lakini hakuna mtu aliyejeruhiwa.

Chanzo; Mwananchi