Trump asema Marekani inaweza kuongeza mashambulizi hadi kuidhoofisha kabisa Iran, akidai hakuna kilichosalia cha kulenga na kwamba vita vinaweza kumalizika muda wowote akiamua.
Katika upande mwingine wa sarafu, Israel imesisitiza itaendelea na operesheni zake za kijeshi bila kikomo hadi itimize malengo yake nchini Iran.
Chanzo; Dw