Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Meli 3 Zalipuliwa Mlango wa Bahari Harmuz

Meli tatu za biashara zimeshambuliwa na vitu vya kulipuka visivyojulikana karibu na mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, tukio ambalo limeongeza taharuki kubwa kuhusu usalama wa usafiri wa baharini katika mojawapo ya njia muhimu zaidi za usafirishaji wa mafuta na gesi duniani.

 

Chanzo; Global Publishers

Kuhusiana na mada hii: