Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema leo Jumanne kuwa Urusi haitaki vita na mataifa ya Ulaya, lakini iwapo Ulaya itataka vita, basi Urusi iko tayari kupigana sasa.
Putin ameongeza kuwa mataifa ya Ulaya yanaweka masharti kuhusu makubaliano ya amani kwa Ukraine ambayo Moscow inayaona kuwa hayakubaliki kabisa.
Chanzo; Dw