Takriban watu 10 wamefariki na wengine 12 kujeruhiwa kufuatia shambulio la ufyatuaji risasi lililotokea Bondi Beach, Sydney, polisi wamesema. Miongoni mwa waliokufa ni raia tisa na mshambuliaji mmoja. Polisi kadhaa pia wamejeruhiwa wakati wa operesheni ya kuudhibiti mkasa huo.
Washukiwa wawili wameshikiliwa, huku mamlaka zikionya uwezekano wa tishio la bomu na kuwataka wananchi kuepuka eneo hilo hadi hapo itakapotolewa taarifa zaidi.
Chanzo; Cnn