Matokeo ya mechi zote za mzunguko wa kwanza kombe la Shirikisho Barani Afrika.
• CR Belouizdad 2–0 Singida Black Stars
• Maniema Union 2–0 Azam FC
• Stellenbosch 1–0 AS Otôho
• Djoliba AC 0–1 Olympic Club Safi
• Al Masry 2–1 Kaizer Chiefs
• USM Alger 3–2 FC San Pedro
• Wydad AC 3–0 Nairobi United
• Zamalek 1–0 Zesco United
Timu mbili za Tanzania zinashiriki mashindano haya ambazo ni Azam Fc pamoja na Singida Black Stars na zote zikiwa zinashiriki kwa mara ya kwanza hatua hii ya makundi katika historia ya klabu hizo zimepoteza mchezo.
Chanzo; Bongo 5