Fernando Torres ndiye mchezaji pekee katika historia ya soka kufunga katika mashindano saba tofauti katika msimu mmoja.
Msimu wa 2012/13 akiwa na Chelsea alifanikiwa kufunga katika mashindano haya.
- Ligi Kuu
- Kombe la FA
- Kombe la Ligi
- Ngao ya Jamii
- Kombe la Dunia la Klabu ya FIFA
- UEFA Super Cup
- UEFA Europa League (na kunyanyua kombe)
Mashindano 7, magoli 7, Fernando Torres alifanikiwa kuiweka rekodi hiyo ambayo inadumu mpaka sasa.
Chanzo; Bongo 5