Rais wa TFF Wallace Karia ,Rais wa Klabu ya Yanga , Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu(ACA) na Mjumbe wa kamati ya mashindano ya vilabu FIFA, Eng.Hersi Said kwenye picha ya pamoja na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino pamoja na Makamu Mwenyekiti wa ACA Jessica Motaung kwenye mkutano wa kwanza wa Kamati ya FIFA unaofanyika leo Doha, Qatar.
Chanzo; Clouds Media