Staa wa Ufaransa, Kylian Mbappé, amefikia rekodi ya kushangaza baada ya kufunga mabao 70 akiwa na Real Madrid, sawa na Cristiano Ronaldo.
Mbappé amefanikisha kufunga mabao 70 katika mechi ya 81 za Real Madrid, ikilinganishwa na Cristiano Ronaldo aliyefanya hivyo katika mechi 75 pekee.
Mabao 70 Mbappé: 81 Mechi
Mabao 70 ya Cristiano: 75 Mechi
Kwa kasi na uthubutu huo, Mbappé anaendelea kuthibitisha kuwa ni mmoja wa wachezaji wenye mvuto mkubwa wa soka duniani na anaendelea kushirikisha historia ya klabu ya Real Madrid.
Chanzo; Mwanaspoti