Baada ya kukamilisha mbio yake ya kukumbatia miti, mwanaharakati wa mazingira kutoka Kenya, Truphena Muthoni, sasa anaingia katika hatua muhimu zaidi ya safari yake ya rekodi ya Guinness World Records
Guinness World Records haitambui jaribio kama rasmi hadi aliyefanya hiyo rekodi awasilishe ushahidi kamili na ukaguliwe kwa kujitegemea kisha kuidhinishwa.
Kulingana na miongozo ya Guinness World Records, kuvunja rekodi hatua ya kwanza ni Kuthibitisha kuwa ilifanyika chini ya masharti yanayohitajika ndiyo kunaamua kama taji hilo litakuwa rasmi.
Chanzo; Bongo 5