Wapinzania wa klabu ya Simba, Petro de Luanda kutoka nchini Angola tayari wametua hapa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Muda huu saa Tano Usiku.
Simba watamemyana na Petro de Luanda siku ya Jumapili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Majirs ya saa 10 Jioni.
Chanzo; Bongo 5