Golikipa wa klabu ya Simba Sc Moussa Camara amekamilisha matibabu yake nchini Morocco na sasa anarejea nchini kwa ajili kusubiri kupona akiwa chini ya uangalizi wa madaktari wa klabu ya Simba Sc.
Moussa Camara alikua nje ya uwanja kwa kipindi kirefu akisumbuliwa na majeraha ya goli ambayo yalipelekea mchezaji huyo kufanyiwa upasuaji.
Chanzo; Bongo 5