Bondia Gervonta “Tank” Davis amevuliwa mkanda wa uzito wa lightweight wa WBA baada hati ya kukamatwa kutolewa dhidi yake nchini Marekani.
Hali hii inahusiana na madai ya tukio la kifamilia lililotokea mwaka jana na mpaka sasa hatambuliwi kama bingwa hai na WBA inatarajiwa kuendelea na kumtangaza bingwa mpya wa uzito huo.
Bondia Gervonta “Tank” Davis hajawahi kupoteza pambano lolote tangu aanza Proffesional Boxing Februari 22, 2013
Gervonta Davis ameshinda kwa knockout (KO/TKO) 28 kati ya mechi zake 30
Rekodi ya Gervonta Davis
Total fights: 31
Wins: 30
Draws: 1
Losses: 0 (undefeated)
Wins by KO/TKO: 28 (high knockout rate)
Chanzo; Bongo 5