Klabu ya Simba Sc imemtambulisha rasmi Steve Barker kuwa kocha wao mkuu.
Steve ni kocha anayejulikana kwa uzoefu wake mkubwa katika ligi za juu za nchi hiyo, hususan PSL.
Steve Barker anaheshimika kama kocha mwenye uwezo wa kujenga timu imara, kukuza vipaji vya vijana, na kufanikisha miradi ya muda mrefu ya klabu.
Chanzo; Bongo 5