Tiktoker Maarufu Nchini Nigeria Habeeb Hamzat maarufu kwa jina la Peller alizuiliwa na walinzi alipotaka kumuona na kutengeneza maudhui na msanii Olamide kwenye show yake iliyokua ikifanyika London.
Peller ni tiktoker mwenye ushawishi mkubwa Nchini Nigeria akiwa na takribani wafuasi Milioni 12.8 katika akaunti yake ya tiktok.
Chanzo; Bongo 5