African Starboy Wizkid pamoja na Asake, wametangaza kuusambalatisha mwaka 2025, kwa kuachia mradi wao mpya ambao wameupa jina la real ambapo wameweka wazi hayo kwenye mahojiano yao na Apple Music.
Hii imekuja baada ya wawili hao wawili kufanya kushiriki pamoja kwenye tamasha la Red Bull lililofanya vizuri na kuurudisha masikioni wimbo wa “MMS”
Chanzo: Tanzania Journal