Nguli wa muziki kutoka nchini Uganda jose chameleone aonesha Ngari yake Mpya aina ya Tesla Cybertruck .
Jose chameleone anaingia orodha ya Mastaa wa kubwa Afrika wanaomiliki gari hili la kifahari kama Timaya, Davido, Omah Lay, Asake na kuwa wa kwanza Afrika Mashariki.
Chanzo; Bongo 5