Mbunge wa Viti Maalum na mdau mkubwa wa muziki Tanzania, Mama Asha Barakah baada ya kumtembelea Mkubwa Fella ambaye anaumwa, amefunguka kuzungumzia hali ya mdau huyo mkubwa kwenye muziki ikiwa ni siku chache toka mke wake Sweet Fella kupost video ambayo inamuonyesha yeye pamoja na Mkubwa Fella wakiwa wanakunywa juice katika moja ya restaurant kubwa jijini Dar es Salaam.
Video hiyo iliibua maswali mengi kuhusu afya ya Mkubwa Fella huku wengi wakidai video hizo ni ya zamani.
Chanzo; Bongo 5