Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Mr P Ndoto ya Kucheza Mpira Ulaya, Ajikuta Kwenye Muziki

Peter wa P Square 'Mr P' anasema ndoto zake ilikuwa kucheza soka la kulipwa barani Ulaya lakini hatima yake ikaangukia kwenye muziki ambao umemtambulisha vizuri.

Kupitia post yake mpya Mr P ameeleza kuhusu ndoto zake za mpira na muziki akiandika 

"Kamwe usikate tamaa, nilikuwa nacheza mpira na kufanya muziki pamoja, nilipewa nafasi ya kuichezea Plateau United lakini ndoto yangu ilikuwa kucheza mpira Ulaya"

"Kwa namna fulani hatima iliichagua Mic  badala ya mpira, leo hii mimi ni mwanamuziki mahiri na mwenye mafanikio. Hicho si kingine ila neema" Peter P Square

 

Chanzo; Eatv

Kuhusiana na mada hii: