Rapa na mfanyabiashara wa Marekani Jay-Z amempa rafiki yake DJ Khaled zawadi ya gari aina ya BMW M3 kama suprise ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.
DJ Khaled, ambaye sasa ametimiza miaka 50, aliwahi kumiliki gari la aina hiyo akiwa bado mdogo na zawadi hii imeibua kumbukumbu hizo muhimu kwake.
Chanzo; Wasafi