Dj Mushizo Utawaua, ametunyooshea maelezo kuhusu safari yake ya Nigeria, connections na mchongo ambao umempeleka kipande hicho bila kusahau uwezekano wa kazi mpya za pamoja na baadhi ya wasanii wakubwa ambao amekutana nao kipande hicho.
Chanzo; Clouds Media