Emoji zimekuwa sehemu kubwa sana ya style ya uandishi kwenye mitandao ya simu, meseji n.k
Kutoka katika ripoti mpya za ushirika wa Emojipedia ambao ni muunganiko wa kampuni za tech duniani ambazo zinasimamia mifumo ya emoji - orodha ya emoji ambazo zimetumika sana duniani imetoka.
Kwa muda wote, ❤️, ✅, ✨, 🔥 na 😭 bado zinaongoza kama emojis zinazotumiwa zaidi duniani.
Chanzo; Clouds Media