Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

T.I Ajivunia Wanae Kumtetea Mama Yao Sakata 50 Cent

Rapa T.I anasema anajivunia sana watoto wake wa kiume King Harris na Domani baada ya kuibuka kumtetea na kumlinda mama yao kwenye bifu lake na 50 Cent.

T.I anasema mtoto wake King Harris alilichukulia bifu personal na alienda mbali mpaka kuvaa t shirt yenye sura ya mama yake 50 Cent ambaye ameshafariki.

"Jambo ninalojivunia katika familia yetu ni kwamba kuna wanaume ambao wapo tayari dhidi ya mtu yeyote atakayezingua"

"Nilivyoona (King Harris) amevaa nguo yenye sura ya mama yake 50 Cent nilimkataza nikawaambia sasa tulieni inatosha, sitaki kuwaona wakifanya mengine" anasema T.I

50 Cent alipost picha ya kumdhihaki mke wa T.I kwenye mtandao wake wa Instagram wakati bifu lao likiendelea.

 

 

Chanzo; Eatv

Kuhusiana na mada hii: