miliki Wa Label Ya Mavin Records Don Jazzy, Ameweka Wazi Kuwa Alitumia Karibu Kiasi Cha $4-5M (Tsh Bilioni 9.8 Hadi Tsh Bilioni 12.2/=) Ili Wimbo Wa Rema, ‘Calm Down’ Uwe Hit Duniani.
“Wimbo Kama Wa Rema ‘Calm Down’, Tulitumia Karibu Kiasi Cha Tsh Bil 9.8 Hadi 12.2 Ili ifike hapo ilipofika” - Don Jazzy Akiweka Wazi Kiasi Alichotumia ili kuifanya Calm Down Kuwa Moja Ya Ngoma Kubwa Zaidi Duniani Na Katika Historia Ya Aftobeats
Don Jazzy akiwa kwenye Mahojiano Mapya Na Toolz Pamoja Na Bounce, amesema kuwa kuvunja rekodi na kupata mafanikio ya kimataifa kunahitaji nguvu kubwa ya kifedha na uwekezaji endelevu.
Na Alipoulizwa Kuwa Ni Kiasi Gani Cha Fedha Wimbo Huo Umetengeneza, Don Jazzy Amesema Ni Fedha Nyingi Sana.
“Mapato Yake Ni Makubwa Sana”
Kumbuka Wimbo Wa Rema ‘Calm Down Remix Na Selema Gomez Hadi Sasa Una Views Bilioni 1.2 Youtube, Imeuza Nakala Zaidi Ya Milioni 8 Marekani, Ilifanikiwa Kushika Hadi No. 03 Kwenye Billboard Hot 100, Huku Ikiendelea Kushika Namba 1 Kwa Mwaka Mzima Kwenye Billboard Afrobeats Chart
Chanzo; Wasafi