Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha.
Amesema kuwa hata kama wananchi wataamua kutoendelea kununua kazi zao, bado wao wataendelea kusimama na msimamo wao huo na hawatatoa msamaha kwa jambo ambalo wanaamini halikuwa makosa.
Chanzo; Bongo 5