Hivi karibu Disemba 2025, Katika kuendelea kuuboresha mtandao wa Whatsap sasa waemaua kuja na chaguo la mtu kuondoka maarufu kuleft ndani ya group bila mtu kujua isipokuwa admin pekee.
Zaidi, wameongeza kitu kipya kwa upande wa Whatsapp status, kwa sasa mtu anaweza kurepost status uliyoipost. Kama bado vitu hivi hujafikiwa navyo ni muda rasmi wa ku-update whatsapp yako.
Chanzo: Tanzania Journal